1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanaharakati Kenya walalamikia vitisho vya dola

Rashid Chilumba8 Aprili 2019

Kinagaubaga kinaangazia malalamiko ya wanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya ikiwa ni pamoja ya vitisho kutoka vyombo vya dola vinavyotishia maisha yao na ustawi wa kazi yao wanayoifanya. Rashid Chilumba anazungumza na mwanaharakati Eric Kalisa kutoka Mombasa Pwani ya Kenya.

https://p.dw.com/p/3GT25