1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaNigeria

Wanamgambo 200 waliuwawa desemba katika mapigano Nigeria

3 Januari 2023

Takriban wanamgambo 200 waliuwawa mnamo mwezi Desemba katika mapigano kati ya kundi la Boko Haram na lile la dola la kiislam ambalo limejikita katika jimbo la kaskazini-mashariki mwa Nigeria la Borno.

https://p.dw.com/p/4LhGZ
Nigeria Zwangsabtreibungen, Soldaten mit Boko Haram Flagge
Picha: REUTERS

Kwa  mujibu wa mtaalamu wa masuala ya usalama kikanda Zagazola Makama, waasi katika eneo hilo waliapa kupigana wenye kwa wenyewe kuliko jeshi la Nigeria.

Mapigano kati ya makundi hayo mawili yameripotiwa kupungua kwa kiasi kikubwa  dhidi ya vikosi vya usalama na raia.mashambulizi wa vikosi vya wanamhambo katika maeneo ya Bama na misitu ya Sambisa yalipunguzwa zaidi na mashambulizi ya anga ya jeshi la Nigeria.