1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake Iringa watoa elimu kuhusu afya ya uzazi

ANUARY MKAMA19 Juni 2019

Makala ya Wanawake na Maendeleo, safari hii inaangazia kikundi cha wanawake kiitwacho IMCHA mkoani Iringa. Je juhudi zao katika kuboresha maisha ya wanawake ni zipi? Na zimepiga hatua kwa kiwango gani? Kwa mengi zaidi, ungana na Anuary Mkama.

https://p.dw.com/p/3KgmX