1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake na kilimo cha Mpunga cha tija

Sylvia Mwehozi
23 Aprili 2019

Msikilizaji karibu katika makala ya wanawake na maendeleo, tunatazama juhudi za wanawake wakulima wa zao la mpunga ambao wanatumia kanuni bora za kilimo kuongeza mnyororo wa thamani ya zao la mpunga nchini Tanzania, msimulizi ni Veronica Natalis.

https://p.dw.com/p/3HFyi