1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wapambana katika biashara ya kutengeneza vyondo Kenya

Shisia Wasilwa28 Juni 2019

Wanawake ni nguzo kuu ya jamii bila wao ulimwengu ungekosa maana. Mchango wa wanaawake kwa masuala ya kijamii hauna mfano. katika jimbo la Machakos eneo la Tala nchini Kenya kina mama wanahalisisha ukweli huo kwamba wanatekeleza majukumu yao ipasavyo licha ya umri wao mkubwa.

https://p.dw.com/p/3L86o