1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake Zanzibari kuwania uongozi katika uchaguzi mwakani

13 Septemba 2019

Mwaka 2020 kutaandaliwa uchaguzi Tanzania bara ambao utaishirikisha Zanzibar pia. Wanawake kutoka Zanzibar wamejitokeza kimasomaso kutangaza kuwa watakuwa miongoni ma watakaokuwa wanapigania nafasi za uongozi katika uchaguzi huo. Si jambo la kawaida na ndio maana Salma Said anawaangazia katika makala yafuatayo ya Wanawake na Maendeleo.

https://p.dw.com/p/3PXD0