1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wapiganaji wa zamani wa FNL Burundi waachiwa huru

20 Mei 2009

Burundi imewaachilia huru wapiganaji wa zamani wa kundi la waasi wa FNL.

https://p.dw.com/p/HuDu

Hatua hii ni katika yale makubaliano ya kuleta amani nchini Burundi. Mwandishi wetu Hamida Issa mjini Bujumbura alishuhudia kuachiliwa huru kwa wapiganaji hawa wa zamani na alipata fursa ya kuzungumza nao, kuhusu hisia nao na wana mipango ipi baada ya ya kutoka jela.


Mwandishi: Amida Issa

Mhariri: Mohamed Abdulrahman