1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto wa Kirohingya wanateseka Bangladesh

3 Novemba 2017

Zaidi ya wakimbizi laki nne wamewasili nchini Bangladesh, kutoka Myanmar lakini pamoja na jitihada za kimataifa kuwasaidia wakimbizi hao watoto wadogo na hasa wasikuwa na wazazi wanaishi katika mazingira hatarishi.

https://p.dw.com/p/2mzOZ