1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Tamasha la Bi Mdogo wa Uganda

31 Januari 2018

Angalia vidio hii ya mashindano ya Bi mdogo wa Uganda yaani ‚Little Miss Uganda‘ ambapo watoto wa kike wenye umri wa miaka 5 hadi 10 walishiriki kuonyesha vipaji vyao katika mavazi ya kitamaduni ya kimagharibi, muziki na dansi. Kwa mujibu wa waandaaji na wazazi wa washiriki, hii ni njia moja ya kujenga ujasiri wa watoto, ndoto na matarajio katika maisha yao ya baadae.

https://p.dw.com/p/2rsFN