1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Watu bado wako mashakani lakini maisha yaendelea"

Elizabeth Shoo23 Machi 2016

Baada ya watu wasiopungua 31 kuuliwa katika mashambulio ya kigaidi Brussels, Manirabona Vianey ambaye ni mkazi wa jiji hilo anaelezea hali ya mambo, maisha yalivyo kwa sasa na usalama ulivyoimarishwa.

https://p.dw.com/p/1IIMK
Brussels, Ubelgiji
Picha: Reuters/V. Kessler

[No title]