1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wavuvi wanufaika kwa nishati ya jua

11 Oktoba 2016

Kijiji cha wavuvi nchini Cape Verde ambacho hakiwezi kumudu gharama za barafu za kuhifadhia samaki, wamewkeza katika jokofu la nishati ya jua kukabiliana na tatizo lao.

https://p.dw.com/p/2R6JC

Auxilia Matias anatuonesha jokofu. Yeye na wavuvi wengine wa Salamansa wana tatizo kubwa la kununua barafu kwa ajili ya kuhifadhia samaki wao.