1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wofsburg waendeleza ubabe katika Bundesliga

Josephat Charo
30 Agosti 2021

Wolfsburg yaendelea kutamba katika Bundesliga kwa kuisakama RB Leipzig nyumbani Volkswagen Arena. 35, 70, 84 - Robert Lewandowski - hat-trick! Hertha Berlin yaburuza mkia baada ya kisago cha 5-0 kutoka kwa Bayern Munich! Lionel Messi acheza mechi yake ya kwanza ya Ligue 1 na Paris Saint Germain.

https://p.dw.com/p/3zh68