1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar yatangaza Baraza jipya la Mawaziri

16 Novemba 2010

Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein, ameteua Baraza jipya la Mawaziri la Serikali ya Umoja wa Kitaifa lenye wizara 16 litakalojumuisha vyama viwili vikuu visiwani humo vya CCM na CUF.

https://p.dw.com/p/QAYb
Rais Dr.Ali Mohammed Shein ateue Baraza jipya la mawaziri ZanzibarPicha: DW

Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Zanzibar jana ilieleza kuwa uteuzi wa mawaziri hao unaanza kufanya kazi mara moja na kwamba wataapishwa leo jioni katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar. Hivi punde Grace Kabogo alizungumza na mwandishi habari wa huko Zanzibar, Salim Said Salim, na kwanza nilimuuliza wananchi wamelipokeaje baraza hilo jipya?

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Salim Said Salim

Mhariri: Othman Miraji