1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zuma akataa kuitii ANC

14 Februari 2018

Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma amekataa kukubali miito ya kujiuzulu, akishutumu hatua hizo zinazochukuliwa na chama tawala cha African National Congress ANC kumuondoa madarakani kuwa si za haki.

https://p.dw.com/p/2sh7W