1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.01.2020 - Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S18 Januari 2020

Rais wa Uturuki ameyatolea wito mataifa ya Ulaya kuiunga mkono serikali ya mjini Tripoli nchini Libya. China imethibitisha visa vipya vya kirusi kinachosababisha homa ya mapafu. Iran imetangaza kupeleka visanduku vya ndege iliyodunguliwa nchini Ukraine.

https://p.dw.com/p/3WPeb