1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asubuhi: Taarifa ya Habari 22.07.2018

John Juma
22 Julai 2018

Waasi zaidi wameendelea kuondoka kusini mwa Syria, kufuatia makubaliano na serikali.// Waziri wa Fedha wa Ufaransa, amesema Umoja wa Ulaya hauwezi kuweka mkataba wa kibiashara na Marekani, bila Marekani kwanza kuondoa nyongeza za ushuru wa bidhaa za chuma cha pua na bati.// Na viongozi wa chama cha Hamas wamekubali mpango wa usitishaji vita, ambao umepelekea Israel kuacha mashambulizi makali

https://p.dw.com/p/31sJ9