1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Besigye aamua kujitetea mwenyewe mahakamani

Admin.WagnerD18 Mei 2016

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr Kizza Besigye, alifikishwa mahakamani siku ya Jumatano na kusomewa upya mashitaka ya uhaini, pasipo uwakilishi wa mawakili wake mahakamani.

https://p.dw.com/p/1Iq48
Uganda Afrika Kizza Besigye Forum for Democratic Change Forum demokratischer Wandel
Picha: picture-alliance/dpa/D.Kurokawa

Kiongozi huyo aliyekuwa chini ya ulinzi mkali alirejeshwa katika gereza la Luzira nchini humo hadi Juni mosi wakati kesi yake itakaposomwa tena. John Mary Mugisha, mwanasheria na wakili wa waziri mkuu wa zamani wa Uganda amezungumza na Sudi Mnette juu y hatua ya Besigye kwenda mahakamani bila wakili.

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman