1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Best Jiongeze Twende Tukapime"

13 Mei 2016

Wasichana wanajitokeza kupima hali zao za afya kubaini ikiwa wameambukizwa virusi vinavyosababisha ukimwi katika kampeni iliyopewa jina "Best Jiongeze Twende Tukapime". Uzinduzi ulifanyika Kakola, Kahama, Tanzania.

https://p.dw.com/p/1InWw
Tanzania Einweihung Kampagne Test HIV /AIDS Kakola Kahama
Mabinti walioshiriki uzinduzi wa kampeni, kijiji cha Kakola, Kahama, TanzaniaPicha: DW/V.Natalis