SiasaBiashara ya kuuza chenjiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa28.09.201728 Septemba 2017Kijana Lucas Sangale kutoka Arusha ni miongoni mwa mamia ya vijana waliobuni ajira ya kuuza chenji kwa watoa huduma ya daladala, ingawa ajira hio sio rasmi kama sehemu ya ajira lakini vijana wengi hujipatia fedha kupitia ajira hio.https://p.dw.com/p/2ksI5Matangazo