1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CHADEMA: Taratibu za uchaguzi zimekiukwa

Amina Mjahid
28 Oktoba 2020

Sikiliza mahojiano haya kati ya Lilian Mtono na Msemaji wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Tumaini Makene anaedai kumekuwa na ukiukwaji mkubwa sana wa taratibu za uchaguzi.

https://p.dw.com/p/3kYT7