1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyombo vya habari vinaangazia changamoto za ziwa Victoria?

Khelef Mohammed Mohammed30 Novemba 2018

Katika kipindi cha Maoni DW iliandaa kongamano mjini Mwanza Tanzania kwa ushirikiano na mshirika wake wa miaka 20 Radio Free Africa kuhusu dhima ya vyombo vya habari katika kuangazia changamoto za Ziwa Victoria. Kongamano hilo liliandaliwa katika chuo kikuu cha Agostino. Mohammed Khelef anaelezea zaidi kwenye kipindi cha Maoni.

https://p.dw.com/p/39DCN