1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Katumbi ahukumiwa miaka mitatu jela

Sudi Mnette23 Juni 2016

Kiongozi wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Moise Katumbi, amehukumiwa kutokana na mzozo wa rasilimali, ardhi na majengo. Mahakama inadai alimuuzia mtu nyumba ambayo si yake.

https://p.dw.com/p/1JBlF
Kiongozi wa upinzani Moise Katumbi
Picha: Getty Images/AFP/F. Scoppa

[No title]

Kutoka Lubumbashi Sudi Mnette amezungumza na kiongozi wa muungano wa vyama 15 vinavyomuunga mkono Katumbi vijulikanavyo kama G7, Kyungu Wa Kumwanza, na kwanza alitaka kujua wameipokeaje hukumu hiyo.