1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Duma aingia ndani ya gari la watalii, Serengeti

Yusra Buwayhid
3 Aprili 2018

Duma aingia ndani ya gari la watalii katika hifadhi ya taifa ya wanayama pori na misitu ya Serengeti nchini Tanzania. Ingawa hakudhuru mtu duma huyo aliwapa wasiwasi wa kutosha watalii hao kutoka Marekani.

https://p.dw.com/p/2vPzK