Edvesta apokea zawadi yake kutoka DW

Sasa moja kwa moja
dakika (0)
Hatimaye mshindi wa shindano letu kuhusu mchezaji bora mwenye umri mdogo katika ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga, Edvesta Tarimo, amepokea zawadi yake ya jezi ya timu anayoishabikia - Bayern Munich.

Tufuatilie