1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Juhudi za kuwasaidia walemavu

18 Novemba 2015

Watu wenye ulemavu Uganda wananyanyapaliwa. Lakini Fred Batale aliuchukua ubaguzi huo kama changamoto na kuanzisha mradi wa sanaa kwa walemavu, akiwa na lengo la kuwawezesha na kuwapatia maarifa ya sanaa na ubunifu.

https://p.dw.com/p/1H7us
DW Africa on the Move 1 EINSCHRÄNKUNG
Picha: DW

Uganda: Fred Batale mlemavu anawasaidia walemavu wenzake kujikwamua kiuchumi