1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya Tarime Mjini baada ya watu wawili kuuwawa

Amina Mjahid
28 Oktoba 2020

Eneo la Tarime Mkoani Mara linatazwamwa kama ngome ya chama cha upinzani CHADEMA, na jana shirika la habari la AP liliripoti kutokea mauwaji ya watu wawili, pamoja na suala hilo Sudi Mnette amezungumza na mgombea ubunge wa jimbo la Tarime vijijini kwa tiketi ya CHADEMA John Heche.

https://p.dw.com/p/3kXLa