1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hisia baada ya uteuzi wa Tulia Ackson kugombea uspika

21 Januari 2022

Siku moja baada ya Chama cha Mapinduzi CCM kumpitisha naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson kukiwakilisha chama hicho katika kinyang’anyiro cha nafasi ya uspika wa bunge hilo, kumeibua hisia mseto kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa mashuhuri pamoja na wachambuzi wa masuala ya kisiasa. Sikiliza ripoti ya Deo Makomba.

https://p.dw.com/p/45umY