1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kamanda Simon Sirro pia amewaonya wanaofanya ukatili

Josephat Charo
21 Februari 2019

Mkuu wa jeshi la polisi nchini Tanzania Kamanda Simon Sirro amewaonya wale wote wanaoendesha vitendo vya kikatili vya kuwauwa watoto na kisha kuwanyofoa viungo vyao vya mwili kuacha mara moja, kwani msako mkali unafanyika nchi nzima na atakayebaininka kuhusika kwa namna yoyote ile sheria itachukua mkondo wake. Veronica Natalis amemhoji kamanda Sirro.

https://p.dw.com/p/3DnUw