1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilio cha upinzani nchini Tanzania

George Njogopa/MMT17 Desemba 2020

Baada ya hekaheka za uchaguzi mkuu nchini Tanzania ulioshuhudia wimbi jipya la mabadiliko ya kisiasa. Chama tawala CCM kinajinasibu kwamba kimeibuka na ushindi wa kishindo ingwa upinzani na wadau wengine wanakosoa matokeo hayo wakidai kwamba uchaguzi ulitawaliwa na mizengwe mingi. Makala ya mbiu ya mnyonge hii leo inuangazia upinzani na kilio chao cha baada ya uchaguzi huo. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/3mqTL