1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Mwelekeo wa soka nchini Tanzania

Sudi Mnette
31 Januari 2024

Tanzania imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON baada ya kushindwa kupata alama za kutosha kuiwezesha kufuzu katika hatua ya 16 bora. Taifa Stars ilimaliza mkiani mwa kundi F ikiwa na alama 2 pekee baada ya kufungwa na Morocco na kutoka sare na Zambia na baadae Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Sudi Mnette amezungumza na Suleiman Matola, Kocha Msaidizi wa Taifa Stars.

https://p.dw.com/p/4bt6U