1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la nne la Idhaa za Kiswahili duniani

Selemani Omari Mwiru19 Machi 2024

Kongamano la Nne la Idhaa za Kiswahili Duniani 2024 linaendelea huko mkoani Mbeya nchini Tanzania. Ungana na mwenzetu Mohammed Khelef ambaye amehudhuria kongamano hilo linalowaleta pamoja wadau wa Kiswahili.

https://p.dw.com/p/4du4r