1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la vijana lakamilika Ujerumani

25 Novemba 2016

Kongamano la vijana kutoka mataifa mbali mbali duniani yakiwemo Colombia, Sudan, Nepal na Tanzania lilioandaliwa na chama cha umoja wa mataifa cha Ujerumani mjini Bonn Ujerumani limekamilika

https://p.dw.com/p/2TGdj
UN Workshop in Bonn
Tatu Karema awahoji washiriki wa warsha ya Umoja wa mataifa, Bonn.Picha: DW/C. Mwakabwale

Kongamano la vijana kutoka mataifa mbali mbali duniani yakiwemo Colombia, Sudan, Nepal na Tanzania lilioandaliwa na chama cha umoja wa mataifa cha Ujerumani mjini Bonn Ujerumani limekamilika hii leo .Mwenzangu Tatu Karema alipata fursa ya kuzungumza na washiriki wawili kutoka Tanzania ambao ni Rose Robert Manumba, mwanachama wa chama cha wanawake wanasheria nchini Tanzania na Raphael Kambamwene, balozi wa vijana Tanzania katika jumuiya ya Afrika Mashariki ambaye alianza kwa kuelezea lengo la kongamano hilo.


Mwandishi; Tatu Karema
Mhariri.Yusuf Saumu