1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

''Wazanzibari 39,999'' yawasilisha kesi kupinga muungano

Daniel Gakuba
20 Machi 2018

Kundi la 'Wazanzibari 39,999' limefikisha shauri katika mahakama ya Afrika Mashariki, kupinga muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Awali, mahakama ililikataa shauri hilo kwa hoja kuwa halikufuata utaratibu wa kisheria.

https://p.dw.com/p/2ud3T