1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Magufuli apewa tuzo ya ukombozi wa kiuchumi

18 Julai 2018

Taasisi ya ukombozi wa Afrika imemtunuku Rais wa Tanzania kwa kile ilichoeleza kuwa kufanikiwa kukuza uchumi, elimu bure na upatikanaji wa dawa hospitalini. Wachambuzi wasema Magufuli bado hajafaulu kuinua uchumi.

https://p.dw.com/p/31eFr
Rais John Magufuli
Picha: picture alliance/AA/M. Mukami

J2 18.07 Tanzania: Reactions on Magufuli's award - MP3-Stereo