1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama yafuta wakurugenzi kusimamia uchaguzi Tanzania

Lilian Mtono
24 Mei 2019

Mahakama Kuu Tanzania imebatilisha sheria ya uchaguzi inayowapa uhalali wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi. Hatua hiyo ni baada ya kufunguliwa kesi na watetezi wa demokrasia wakishirikiana na vyama vya upinzani ikiwa ni pamoja na CHADEMA.

https://p.dw.com/p/3ISa9