1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala Yetu Leo: Kituo kipya cha biashara Afrika Mashariki

Mkama Anuary16 Agosti 2023

Makala yetu leo inaangazia kituo cha biashara cha Afrika Mashariki kinachojengwa jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinatazamiwa kuwa kitovu cha bidhaa muhimu kutoka China, lakini wasiwasi umetanda kwa baadhi ya wafanyabiashara kupoteza biashara zao pamoja na kupungua umaarufu wa soko la Kariakoo. Mtayarishaji wa Makala hii ni Anuary Mkama.

https://p.dw.com/p/4VEw8