1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Mapambo kutokana na chupa zilizotupwa

John Juma
4 Aprili 2018

Wengine walipomaliza kutumia yaliyokuwemo ndani, walizitupa. Lakini yeye aliamua kuziokota hizo chupa na kuzitia nakshi. Kutana na huyu mwanamke mjasiriamali kutoka Tanzania anayepata riziki yake kwa kutengeneza mapambo kutokana na chupa zilizotupwa

https://p.dw.com/p/2vS9b