1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marufuku ya mifuko ya Plastiki Tanzania

15 Aprili 2019

Serikali ya Tanzania imetangaza marufuku ya uzalishaji na matumizi ya mifuko ya Plastiki katika hatua ya karibuni kabisa ya nchi hiyo kakabiliana na uchafuzi wa mazingira unaosababsihwa na bidhaa hiyo. Tanzania inajiunga na nchi za Kenya na Rwanda katika eneo la Afrika Mashariki ambazo ziliweka marufuku ya matumizi ya mifuko ya Plastiki miaka kadhaa iliyopita

https://p.dw.com/p/3Gnya