1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Corona na athari zake kwa wanafunzi

Sudi Mnette
20 Mei 2020

Masharti ya kukabiliana na virusi vya corona yaathiri maisha ya wanafunzi wengi Ujerumani na hasa kwa wale wa mataifa ya kigeni ambao wanaendesha maisha yao ya kimasomo kwa kutegemea kufanya kazi ndogondogo. Zaidi Msikilize Harrison Mwilima katika makala ya Sura ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/3cVIv
Deutschland Afrika Center Berlin | Corona-Hilfe
Picha: DW/H. Mwilima