1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 18.08.2019

Yusra Buwayhid
18 Agosti 2019

Watu 63 wafariki kutokana na mripuko wa bomu katika sherehe ya harusi mjini Kabul, Afghanistan. India yerejesha marufuku ya kutoka nje na kuzima mawasiliano Srinagar, Kashmir. Na, SADC yataka kupunguza kutegemea ufadhili wa nje.

https://p.dw.com/p/3O5tN