1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Habari kwa miondoko ya rap

3 Desemba 2015

Msichana rapa Zoe Kabuye, a.k.a MC Loy, anatoa taarifa mpya katika kipindi Newzbeat kinachopeperushwa hewani na NTV. Kipindi cha rap chenye kubeba taarifa muhimu kinapendwa na vijana ambao wanapenda muziki ya siasa.

https://p.dw.com/p/1H8wR
Uganda Zoe Kabuye, a.k.a. MC Loy
Picha: DW/G. Hofmann

Habari kwa miondoko ya rap