1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgogoro wa kifedha wa Uturuki, hali ikoje kwa wananchi?

Yusra Buwayhid
15 Agosti 2018

Uturuki inakabiliwa na mgogoro wa kifedha baada ya thamani ya sarafu yake ya lira kuanguka wiki iliyopita ikichangiwa na hatua za Marekani za kuiwekea vikwazo vya kibiashara. Msikilize mkaazi wa mji wa Istanbul Mbaraka Lyjohi juu ya hali halisi ya kibiashara ilivyo miongoni mwa raia wa kawaida.

https://p.dw.com/p/33DnC