1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MONUC nchini DRC yataka uchunguzi kuhusu ushirikiano na kiongozi wa waasi Laurent Nkunda

11 Julai 2008

Tume ya kulinda amani ya umoja wa mataifa nchini DRC Monuc imehakikisha ushirikiano na ungwaji mkono wa afisa wake kwa kiongozi wa waasi wa mashariki mwa nchi hiyo Laurent NKUNDA.

https://p.dw.com/p/EagL
Laurent Nkunda kiongozi wa Waasi wa CNDPPicha: picture-alliance/ dpa

Monuc imeanzisha uchunguzi wa dhati kufuatia madai hayo.MONUC imelaumu hali hiyo ambayo inaharibu sifa ya umoja huo na kusema kuwa uhusiano huo hauihusishi kamwe.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo