1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtetezi wa haki za wafanyakazi wa majumbani

Bruce Amani
8 Juni 2018

Kutana na Angela Benedicto, kutoka kuwa mfanyakazi wa ndani mpaka mkurugenzi wa shirika la Wotesawa lenye makao yake makuu jijini Mwanza, Tanzania linalojihusisha na utetezi kwa wafanyakazi wa ndani

https://p.dw.com/p/2z8mm