1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NEW YORK:Baraza la Usalama kujadili mashambulio ya Darfur

6 Novemba 2007
https://p.dw.com/p/C79b

Muungano wa wanaharakati wa kimataifa umeitisha mkutano wa dharura na baraza la usalama la umoja wa matiafa kujadili mashambulio yanayozidi kuendelea katika jimbo la Darfur nchini Sudan.

Mkutano huo pia utajadili hali inayosababisha kucheleweshwa kupelekwa kikosi cha kulinda amani cha umoja wa mataifa.