1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Pendekezo la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu amani Mashariki mwa Kongo

17 Septemba 2007

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, imesema kuwa imehuzunishwa na kushangazwa na pendekezo la baraza la usalama la umoja wa mataifa la kuitaka ifanye mazungumzo na jenerali muasi Laurent Nkunda.

https://p.dw.com/p/CH88
Jenerali Laurent Nkunda
Jenerali Laurent NkundaPicha: AP

Wakati huo huo serikali ya Kongo inayashutumu majeshi na makundi ya wapiganaji kutoka Rwanda kwa kuhusika na ukosefu wa usalama mashariki mwa nchi hiyo.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo na taarifa zaidi kutoka Kinshasa.