1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Tanzania yawaonya wanaotaka kuipindua serikali

George Njogopa11 Agosti 2023

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, IGP Camillius Wambura amewaonya wanaotaka kufanya maandamano na kupindua utawala wa Rais Samia Suluhu akisema huo ni uhaini na jeshi hilo halitawafumbia macho. Sikiliza ripoti ya George Njogopa kutoka Dar Es Salaam

https://p.dw.com/p/4V4z2