1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Zanzibar yachunguza uhalifu uliotokea hivi karibuni

Tatu Karema
2 Januari 2024

Kundi la watu waliojihami kwa silaha wamevamia mitaa mbali mbali visiwani Zanzibar na kuwajeruhi wananchi na pia kuiba mali. Mashambulizi haya yaliotokea mwishoni mwa wiki, yanakuja siku chache baada ya kamishna wa jeshi la polisi kutoa taarifa kwamba katika kipindi cha Krismasi na mwaka mpya, ulinzi ungeliimarishwa katika maeneo yote ya Zanzibar.

https://p.dw.com/p/4anLH