1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

PRETORIA:Tony Blair akamilisha ziara yake ya Afrika

1 Juni 2007
https://p.dw.com/p/CBw1

Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair amewasili nchini ASfrika Kusini kukutana na rais wa Afrika Kusini Thabo Mbeki akikamilisha ziara yake ya kuaga bara la Afrika.

Blair alikaribishwa kwa gwaride la heshima katika makao makuu ya serikkali anakotarajiwa kufamnya mazungumzo kuhusu tatitzo la Zimbawe vilevile dafur na mkutano ujao wa kilele wa G8.Uingereza ilitilia maanani matatizo ya Afrika ilipokuwa kiongozi wa G8.