1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Kikwete amteua Mwana-CUF kama mbunge

11 Februari 2010

Rais Kikwete wa Tanzania amteua msaidizi wa Katibu Mkuu wa CUF kuwa mbunge.

https://p.dw.com/p/Lz3d
Rais Kikwete wa TanzaniaPicha: DW

Bwana Ismail Jussa wa chama cha wananchi CUF, anaapishwa kesho kuwa mbunge katika bunge la muungano wa Tanzania, kufuatia hatua ya Rais wa nchi hiyo, mheshimwa Jakaya Kikwete kumteua. Josephat Charo amezungumza na Bwana Hamad Rashid, kiongozi wa upinzani katika bunge la muungano wa Tanzania, kuhusu uteuzi wa Bwana Jussa na kwanza kumuuliza ameupokea vipi uteuzi huo.

Mwandishi: Josephat Charo

Mhariri: Mohamed Abdulrahman